CHEKA TARATIBU...

Mwanachuo mmoja kaingia kwenye chumba cha mtihani wa Filosofia.
Juu kabisa kwenye karatasi ya mtihani kuliwa na maandishi yaliyosomeka: "Je, hili ni Swali? - Jadili."
Baada ya kufikiri kwa muda akaandika: "Ikiwa hili ni Swali, basi hili ni Jibu!"
Unaambiwa majibu yalipotoka akawa peke yake aliyepata alama 'A'. Shule raha bwana...

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item