CHEKA TARATIBU...

Jamaa mmoja alikwenda kuoa akatajiwa mahari ya Shilingi milioni 5. Akashindwa kujizuia na kusema kwa sauti: "Kha! Ati Shilingi milioni 5 wakati hapo kwa jirani jana nimetajiwa Shilingi laki mbili tu, tena mwanamke tayari ana mimba. Acheni masihara ongeeni bei ya kueleweka!" Kasheshe…

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item