CHEKA TARATIBU...
https://roztoday.blogspot.com/2013/04/cheka-taratibu_12.html
Teja mmoja katika maongezi yao kamwambia mwenzake: "Unajua mshikaji wangu, kweli siku hizi utandawazi umeshika kasi." Mwenzake akauliza: "Sijakuelewa!" Akaendelea: "Laana imegeuka kuwa baraka!" Mwenzake akauliza: "Kwa vipi?" Akajibu: "Zamani mzazi akikulaani lazima uokote makopo, lakini siku hizi makopo dili ile kinoma!" Balaa...
