http://roztoday.blogspot.com/2012/05/kutana-na-wazazi-wabaya-zaidi-duniani_8.html
Mzazi wa mtoto huyu kakosa vitu vyoote vya kumdanganyishia mwanae hadi kufikia kumpa bunduki!
Uvivu mwingine bwana! Mzazi huyu kuinama kwake kazi, kaamua zake kumhudumia mwanae kwa staili hii..!