MTU MNENE ZAIDI DUNIANI AJUTIA TABIA YA KUPENDA KULA-KULA...

Mtu mnene zaidi duniani amefichua siri kwamba hakuweza kutoka nyumbani kwake kwa kipindi cha miaka kumi iliyopita.
Keith Martin alisema kwa hakika anakumbuka mara ya mwisho kutoka kwake ilikuwa Septemba 11, 2001. Tangu hapo hadi sasa alipotangazwa kama mtu mzito zaidi ulimwenguni, hajawahi kusogea kutoka kitandani mwake.
Keith mwenye miaka 42, amesema hali yake sasa inamfanya atamani kujiua na sasa anajaribu kila hali kupunguza uzito wake.
Akiwa ameshafikia kula hadi kalori 20,000 kwa siku, sasa amejizuia na kupunguza kula hadi kufikia kalori 1,500.
Kiwango chake cha ulaji, Keith anaweza kumaliza soseji sita, mayai sita na mkate wa tosti na maharage.
Mlo wake wa mchana unafanana na huo akiongezea sandwichi na kababu tatu.
Vitafunwa ni pamoja na pakiti za biskuti na pipi, keki na chokoleti. Kabla ya kulala lazima ale sandwichi kadhaa. Anashushia na chupa mbili za soda ambazo kila moja ina ujazo wa lita moja pamoja na vikombe sita vya kahawa yenye sukari.
Kwa sasa amepunguza mlo wake hadi kufikia vipande vinne vya mkate wakati mwingine ukiwa umepakwa siagi ama mkate wenye vipande vya nyama, na huo unakuwa ndio mlo wake mmoja kamili wa siku.
Keith mwenye urefu wa futi 5 na inchi 9, tayari amepungua urefu kwa sentimenta 10. "Limekuwa zoezi gumu sana, lakini nimekuwa nikijaribu kusimamia ratiba yangu mpya ya mlo.
"Kujijua kwamba ndiye mtu mnene zaidi duniani ni kengele ya kuniamsha niliyokuwa nikihitaji. Simlaumu yeyote zaidi ya mimi mwenyewe kwa hali hii ya kutisha.
"Madaktari wamenieleza siwezi kufika umri wa miaka 50 kama sitachukua hatua za dhati kupunguza kula. Nahitaji kupunguza zaidi ya nusu ya uzito wangu.
"Nilipenda kuwa mwembamba wakati nilipokuwa kijana, lakini nilipendelea zaidi kukaa kwa raha kwenye kiti changu cha ukubwa wa wastani. Natazamia kupunguza kabisa uzito wangu."
"Nilikuwa nakula chipsi na mapochopocho kibao kama mlo wa mchana. Sasa, nasema kweli sina uroho wa chakula. Ninalazimika kufanya hivi kwa ajili yangu na familia yangu."
Keith alibainisha namna alivyoanza kupunguza uzito Septemba baada ya kulazwa alipokumbwa na maradhi ya mabusha ambayo yalivimba kufikia ukubwa wa mipira minne ya rugby.
Kisha Januari, Keith akatembelewa na jopo la madaktari bingwa nyumbani kwake na kumuonya: "Fanyia kazi ushauri wetu ama ufe."
"Najaribu kushughulikia ushauri wao lakini hakuna kinachoniumiza mno nyumbani kama vichwa vya habari vinavyozungumzia uzito wangu," alisema. "Imekuwa ikitisha, lakini inanisaidia kujadiliwa na kufikiriwa zaidi."
Kitu pekee anachoweza kufanya kwa sasa ni kusoma novo anazopenda za Tom Clancy ama kutazama filamu za kisayansi na kucheza michezo ya kwenye video.
Mara ya mwisho kutoka nyumbani kwake ukiacha mara nne alipokuwa akipelekwa hospitali, ilikuwa Septemba 11, 2001, siku ambayo ndege za magaidi zililipua jengo la World Trade Centre nchini Marekani.
"Nakumbuka vizuri sababu kila kona watu walikuwa wakihangaika na mashambulio hayo. Lakini kwangu, ilikuwa nzuri siku hiyo sababu ilimaanisha sitoweza kutoka nyumbani.
"Kitu cha mwisho kufanya ilikuwa ni kutembelea kituo changu cha kazi. Ikafikia hatua ya kushindwa kutembea kwenda kusaini kazini.
Sasa amekwama kitandani huku kila siku akitembelewa na wasaidizi saba ambao humuosha mikono na kubadilisha mashuka. Madaktari na manesi wanamtembelea nyumbani kutazama afya yake.
Kwa sasa amekuwa akipokea mafao ya Pauni za Uingereza 303 kwa usiku mmoja katika nyumba ya halmashauri vyumba vitatu anayochangia na dada zake wawili iliyoko Harlesden, kaskazini-magharibi mwa jiji la London.

Post a Comment

  1. Hi there, just wanted to say, I enjoyed this article. It was helpful.
    Keep on posting!
    Here is my weblog ... healthy food s

    ReplyDelete
  2. Everything is very open with a very clear clarification
    of the challenges. It was truly informative.
    Your site is very useful. Thank you for sharing!
    Also visit my web site : skin Serum lift and glow

    ReplyDelete
  3. Right here is thе perfect ωеb site for evеryone who wοuld
    liκe to find out about thіs tοpic. Yоu realize so much its almost tough tο argue ωіth yοu (not that I асtually ωill nеeԁ to…ΗaHa).
    Yоu certаіnlу put а brand new sρіn on a ѕubjеct which hаs bееn dіscussed for а lоng timе.

    Great ѕtuff, just ехcellent!
    Here is my blog post : sylk skin

    ReplyDelete
  4. Aw, thiѕ ωaѕ a very gooԁ post.
    Taking the time anԁ aсtual effoгt to generatе a top notсh аrtіcle…
    but whаt cаn I sаy… I heѕitate a whole lot anԁ don't seem to get nearly anything done.
    Also visit my website ; mitoslimreviews.com

    ReplyDelete
  5. Nice blog! Is your theme custom made or did you download
    it from somewhere? A theme like yours with a few simple tweeks would really make my blog jump out.
    Please let me know where you got your design. Thank you
    my web site - reducewrinkles.sosblogs.com

    ReplyDelete
  6. excellent pointѕ altogеtheг, you just
    received a new rеader. What might you suggest in regards tο youг submit that you
    ѕimρly made a fеw days in the past?
    Αny ѕuге?
    Also visit my web site - green coffee sliminex,

    ReplyDelete
  7. I seldom leave comments, however I looked at some of the comments on "MTU MNENE ZAIDI DUNIANI AJUTIA TABIA YA KUPENDA KULA-KULA...".
    I actually do have 2 questions for you if you don't mind. Is it only me or does it give the impression like some of these responses appear like they are left by brain dead individuals? :-P And, if you are posting at additional online sites, I'd like to
    keep up with anything new you have to post. Could you post a list of every
    one of all your public pages like your twitter feed, Facebook page or linkedin profile?
    Look into my weblog ... Fitness Victory

    ReplyDelete
  8. It's awesome designed for me to have a site, which is valuable in support of my knowledge. thanks admin
    Feel free to visit my blog ; diet pills

    ReplyDelete
  9. It's very easy to find out any matter on web as compared to books, as I found this article at this web site.
    My page > Http://Www.Greencoffeedr.Net/

    ReplyDelete
  10. I just couldn't leave your site before suggesting that I extremely loved the usual info a person provide to your visitors? Is going to be back continuously in order to investigate cross-check new posts

    My web-site; fresh smoke electronic cigarette
    Have a look at my page : Rauchen aufhören, fresh smoke, fresh smoke ecig, fresh smoke electronic cigarette, water vapor cigarette, water vapor ecig, dejar de fumar, fumo fresco, humo fresco,basta de fumar,parar de fumar, stop smoking now,

    ReplyDelete

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item