BORA PUNDA AFE MZIGO UFIKE...


Gari dogo la mizigo likiwa limesheheni mzigo wa nyasi za kulishia ng’ombe maeneo ya Chamazi kuelekea Mbagala, Dar es Salaam leo mchana kiasi cha kumziba dereva kuweza kuona magari yanayotoka nyuma yake jambo ambalo ni la hatari kwa usalama wake na watumiaji wengine wa barabara.

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item