MAJI YAPOGEUKA LULU WILAYANI KONDOA...


Mkazi wa Kijiji cha Kirahi, Kata ya Busi wilayani Kondoa akichota maji kwenye bomba lililokatika sambamba na mifugo mwishoni mwa wiki. Wakazi hao wamemtaka Mbunge wao, Zabein Mhita kushughulikia tatizo la maji katika jimbo lao ambalo limekuwa ni kero kwa muda mrefu sasa.

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item