CHEKA TARATIBU...
http://roztoday.blogspot.com/2012/09/cheka-taratibu_1.html
Mwanamke mmoja mjamzito kaenda hospitali na kukutana na daktari aliyekuwa kwenye mgomo. Mambo yalikuwa hivi. Mjamzito akaanza, "Dokta, mtoto hachezi tumboni!" Daktari akajibu, "Meza kitenesi, ukiona bado hachezi meza Kadi Nyekundu atoke nje!" Duh, kasheshe...
Posted by
Ekisha Admin