KERO YA UPATIKANAJI WA UMEME WA LUKU ILIVYOKUWA LEO...


Wakazi wa Dar es Salaam wakiwa kwenye msururu mrefu wa kununua umeme wa Luku katika Kituo cha Buguruni Sheli leo asubuhi. Wakazi wa maeneo mbalimbali ya jiji walijikuta wakiwa kwenye wakati mgumu wa kupata huduma hiyo kufuatia tamko la kuanza kutumika kwa utaratibu mpya lililotolewa na Tanesco. 

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item