MUDA WA KUHESABIWA SENSA WAONGEZWA WIKI MOJA ZAIDI...

Serikali imetangaza kuongeza kwa wiki moja zaidi muda wa mwisho wa zoezi la Sensa ya Watu na Makazi ili waliokosa nafasi hiyo kuweza kutumia fursa hiyo kukamilisha.
Hayo yameelezwa jana na Kamishna wa Sensa wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Hajjat Amina Mrisho (pichani) mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item