CHEKA TARATIBU...

Trafiki kamsimamisha dereva mmoja aliyekuwa akiendesha gari lenye matatizo. Trafiki akamuuliza, "Mbona namba za mbele za gari lako ni tofauti na za nyuma?" Baada ya sekunde kadhaa dereva akajibu kwa ukali, "Unashangaa nini? Wewe Sura yako na Makalio vinafanana?" Duh...

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item