CHEKA TARATIBU...

Jamaa mmoja bahili sana katembelewa na mgeni kutoka kijijini. Ili aweze kwenda sambamba na bajeti yake akamuuliza mgeni wake, "Samahani, utatumia kinywaji gani. Soda au Chai?" Mgeni huku akijiweka sawa kwenye sofa akajibu, "Nipatie Soda wakati Chai ikiendelea kuchemka!" Balaa...

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item