CHEKA TARATIBU...

Jamaa mmoja kaopoa Mrembo na kuingia naye baa. Kwa muonekano Mrembo yule alionekana msomi kiasi cha jamaa kushindwa kujizuia. Walipoingia baa, jamaa siku hiyo hakujisikia kunywa bia badala yake akataka kucheza pool na hivyo bila kukawia akamtuma mhudumu TOKEN. Mhudumu akamfuata na yule Mrembo kujua anahitaji nini. Mrembo kwa akili yake akajua TOKEN ni kinywaji hivyo naye akaagiza kwa mbwembwe, "Niletee TOKEN mbili lakini zisiwe za baridi maana leo ninakohoa sana!" Kasheshe...

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item