CHEKA TARATIBU...

Kibaka baada ya kuzurura siku nzima bila kupata cha kuiba, kaamua kuingia makaburini kutafuta chochote. Kitu cha haraka kuiba akaona ni misalaba juu ya makaburi. Moja kwa moja akavamia kaburi la jirani na kuanza kung'oa msalaba. Ghafla ikasikika sauti kutoka ndani ya lile kaburi, "Oyaa nani tena huyo anachezesha antena yangu? Balaa...

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item