BAO LA KUSHANGAZA! KIPA ATUNGULIWA UMBALI WA MITA 70...
http://roztoday.blogspot.com/2013/07/bao-la-kushangaza-kipa-atunguliwa.html
Beki wa timu ya soka ya Red Bull Salzburg, Martin Hinteregger akimtungua kipa wa Schalke 04 kutoka umbali wa mita70 katika mechi ya maandalizi ya msimu mpya nchini Ujerumani.