CHEKA TARATIBU...

Jamaa alikuwa akikatiza mitaa ndipo akaona umati wa watu umekusanyika nje ya nyumba moja ya jirani yake. Akasimamisha baiskeli yake na kumuuliza kijana mmoja kilichojiri nyumbani pale. Kijana akajibu, "Ng'ombe wa Mussa kamuua mama mkwe!" Jamaa akaendelea, "Hii ni ishara tosha jinsi huyo mama alivyo na marafiki wengi!" Kijana akajibu, "Hapana, sisi sote hapa tumekuja kumnunua huyo ng'ombe!" Kasheshe...

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item