RAIS OBAMA ATANGAZA RASMI KUMKUBALI MWIGIZAJI CLINT EASTWOOD...

Rais Barack Obama hana fikra zozote tofauti kwa Clint Eastwood kufuatia hotuba yake isiyo ya kawaida aliyoitoa wiki hii ...akibainisha kwamba hana jipya ila anaizimikia mno filamu ya Dirty Harry.
Katika majojiano yaliyochapishwa wikiendi hii, Obama ameweka wazi kwamba ni 'shabiki mkubwa' wa kazi za Eastwood, akisema ni 'mwigizaji mkubwa sana, na pia mwongoza filamu bora.'
Rais huyo alikwepa swali aliloulizwa kama amechukizwa na hotuba ya Eastwood wiki hii, akisema tu, "Kama unachukizwa kirahisi, unatakiwa kutafuta taaluma nyingine."
Kilichobaki sasa ni kusubiri iwapo Obama atahitaji taaluma nyingine muda mfupi ujao.

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item