MWANDISHI DAUDI MWANGOSI AZIKWA KIJIJINI KWAKE...


Mke wa marehemu, Daudi Mwangosi akiwa amejilaza juu ya kaburi la mumewe kama ishara ya kusema kwaheri wakati wa mazishi yaliyofanyika kijijini Busoka, wilayani Rungwe, Mbeya jana.
Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mwakilishi wa Channel Ten mkoani Iringa, Daudi Mwangosi aliyefariki dunia katika ghasia zilizozuka kati ya Polisi na wafuasi wa Chadema juzi, likishushwa kaburini katika mazishi yliyofanyika kijijini kwake Busoka, wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya jana.
Waombolezaji wakifukia udongo kwenye kaburi la Daudi Mwangosi jana.

Watoto wa marehemu Daudi Mwangosi wakiweka mashada ya maua kwenye kaburi la baba yao jana.

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item