DARASA LA SABA WAANZA MITIHANI YAO YA MWISHO LEO...

Jumla ya wanafunzi 894,881 wa Darasa la Saba wa shule zote sehemu mbalimbali hapa nchini leo watarajiwa kuanza mitihani yao ya mwisho ya kumaliza elimu ya msingi.
Mitihani hiyo inafanyika huku shule nyingi zikikabiliwa na changamoto za ukosefu wa madawati na hivyo kulazimu wanafunzi  kufanya mitihani hiyo wakiwa wamepakata karatasi za maswali miguuni mwao huku wakiwa wameketi sakafuni.
Pamoja na hayo, Mhariri wa "ziro99blog" anawatakia wanafunzi wote kila la kheri katika kufanya vema mitihani hiyo na wasimamizi wote wa mitihani hiyo umakini mkubwa ili taifa liweze kupata wanafunzi bora ambao watakuja kuwa wataalamu kwenye nyanja mbalimbali katika miaka kadhaa ijayo.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika!
TUNAOMBA RADHI KWA USUMBUFU WOWOTE MLIOPATA WASOMAJI WETU KATIKA TAARIFA HII. USAHIHI WA HABARI HII NI KWAMBA MITIHANI INAANZA JUMATANO, SEPTEMBA 19, 2012. TUNAAHIDI KUONGEZA UMAKINI KATIKA TAARIFA TUNAZOWALETEA SIKU ZIJAZO -Mhariri

Post a Comment

  1. LEO AU JUMATANO?

    ReplyDelete
  2. siku ya wajinga nini?

    ReplyDelete
  3. ӏ'm not sure where you're gettіng уour info, but gooԁ
    tοpic. Ι nеedѕ to sρеnd ѕome time learning muсh mοrе or undeгѕtanding
    mοre. Thankѕ for magnificent informаtion I was lоoking for this
    іnformatiοn for my misѕіon.
    Stop by my blog :: 1 month loan

    ReplyDelete

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item