MKE WA LIYUMBA AMPANDISHA MUMEWE MAHAKAMANI...

Amatus Liyumba. Mke wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala wa Benki Kuu (BoT), Amatus Liyumba, Aurelia Ngowi amefungua kesi ya madai...

ASKOFU WA KKKT APINGA WACHAGGA KUZIKANA MAJUMBANI...

Dk Martin Shao. Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini, Dk Martin Shao, amekosoa utamaduni wa waka...

JICHO LA TATU...

VIONGOZI WA DINI SASA WAHOFIA MAISHA YA DK MWAKYEMBE...

Dk Harrison Mwakyembe. Baraza la Viongozi wa Dini la Kupambana na Dawa za Kulevya nchini, limetaka Jeshi la Polisi kumpa ulinzi  Waziri wa U...

MAJAMBAZI YAPORA MAMILIONI DAR NA KUMWAGA KWA WANANCHI...

Majambazi jana yalifanya onesho la aina yake jijini Dar es Salaam, baada ya kuporoa mamilioni katika kituo cha mafuta cha Lake Oil, Buguruni...

NDEGE YAGEUZA NA KUREJEA UWANJA KUMCHUKUA BINTI WA MIAKA 11 ALIYEACHWA...

Ndege hiyo baada ya kurejea uwanjani hapo. Ndege ya shirika la ndege la Israeli - kwa msaada wa kila mmoja kwenye ndege hiyo - iligeuza ilik...

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

index