CHEKA TARATIBU...

Jamaa mmoja Mkristo amefariki na yuko njiani kwenda peponi. Alipofika kwenye lango kuu la kuingilia peponi akakutana na malaika. Malaika akamuuliza, "Niambie jina la Mungu."
Jamaa akajibu, "Ah, hiyo rahisi sana. Jina lake ni Andy."
Malaika akamuuliza, "Kipi kimekufanya ufikiri jina lake ni Andy?"
Jamaa akajibu, "Vizuri, utaona kila mara tunaimba kanisani 'Andy tembea nami, Andy ongea nami." Mh...

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item