"NAJUTA KUBEBA MIMBA NIKIWA NA MIAKA 57"...
https://roztoday.blogspot.com/2012/03/kubeba-mimba-nikiwa-na-miaka-57.html
KUSHOTO: Tollefsen mara baada ya kujifungua Freya. KATI: Tollefsen na mpenzi wake, Nick Mayer pamoja na binti yao Freya. KULIA: Tollefsen akiwa amempakata Freya hivi karibuni baada ya kutengana na Nick.
Mwanamke Sue Tollefsen, ameibuka na kukiri kuwa alifanya makosa makubwa mwaka 2008 alipobeba ujauzito na kujifungua motto, Freya katika umri wa miaka 57.
Mama huyo ambaye anashika rekodi ya kuwa mwanamke mwenye umri mkubwa zaidi Uingereza kubeba ujauzito, anakiri makosa hayo baada ya kuugua sana wiki chache tu baada ya kujifungua.
Akiongea miaka minne baada ya kujifungua, Sue Tollefsen amebainisha siku za mwanzo alishindwa kabisa kumlea mwanae Freya baada ya kukutwa na maradhi ya damu hali iliyomuacha akiwa hajitambui kipindi chote cha Krismasi.
Mwalimu huyo mstaafu, ambaye sasa ana miaka 61 kufuatia maradhi hayo yaliyomsibu, ilifika kipindi akaamini kwamba anakufa na hivyo kushindwa kushuhudia makuzi ya mwanae.
Sasa anaamini kabisa kuwa umri wa mwisho kubeba mimba ni miaka 50. Bi Tollefsen anasema, “Ni kweli kwamba tunajifunza kutokana na makosa, na kosa langu ni kutomzaa mtoto huyu mapema.”
“Nimeumwa sana, nilijua wazi kwamba nakufa. Nilikuwa siachi kumfikiria Freya na kwa mara ya kwanza, nikagundua sitaweza kuwa naye tena.”
Aliongeza, “Niwe mkweli, uzoefu niliopata umenifunza kwamba miaka 50 ndio umri sahihi wa mwisho kabisa kupata watoto.”
“Lakini hadi uwe nao basi, si rahisi kukubali kama hukujaliwa kuwa nao.”
Bi Tollefsen anayeishi kwa kutegemea pensheni yake kwenye nyumba ya vyumba viwili vya kulala huko Harold’s Wood, Essex, amesema pia uamuzi wake wa kutaka kuwa mama akiwa na miaka zaidi ya 50 umemfanya kuwa mfano kwa wazazi wengine.
Mwaka 2008 alizua mkanganyiko alipojifungua Freya (sasa miaka minne) kupitia njia ya upandikizaji mimba (IVF), kutokana na mbegu zilizotoka kwa rafiki yake wa kiume, Nick Mayer na kuchangiwa yai na msamaria mmoja.
Shutuma nyingi zimeelekezwa kwa Bi Tollefsen kutoka kwa watu mbalimbali zikisema kuwa ni mzee sana kwa yeye kuweza kuzaa, lakini yeye ameshikilia msimamo kwamba hajutii na kuwa angependa kupata mtoto mwingine.
Sasa anajisikia mwenye furaha akimtazama binti yake hasa baada ya kutengana na mpenzi wake, Nick Mayer mwenye miaka 49 mwaka jana.
Bi Tollefsen anasema, “Nilikuwa nahisi kumwaga machozi, ilinifanya nijisikie nimetengwa.”
“Kila mara nilipokuwa nampeleka Freya kliniki, hospitalini walikuwa wakidhani ni mjukuu wangu. Ilikuwa ikinikosesha amani.”
Ameongeza, “Katika umri huu, nimekuwa nikikatishwa tama kirahisi mno, hasa wakati nilipokuwa mgonjwa. Nilikuwa na miaka 57 wakati najifungua Freya, lakini nilijiona mwenye nguvu na kuweza kuikabili hali ile. Nilidhani ningekuwa imara na kuendelea kuwa na afya milele.”
“Natumaini nitaishi muda mrefu zaidi mpaka Freya akifika Chuo Kikuu na kuolewa na hatimaye kuwa na familia yake. Hilo ndilo ombi langu kuu kwa Mwenyezi Mungu kwa sasa.”
Tollefsen alishika mimba Juni, 2007 baada ya kujaribu mara tatu zoezi la IVF.
Yeye na mpenzi wake iliwagharimu Pauni 15,000 kwa zoezi zima la matibabu hayo nchini Urusi baada ya kukataliwa na kliniki kadhaa za Uingereza kutokana na umri wake mkubwa.
Madktari wa Urusi walisema kuwa ana uwezo wa kubeba mimba kwa sharti moja la kutumia mbegu za Nick na kupata yai kutoka kwa mwanamke mwingine. Hatimaye Freya akazaliwa Machi, 2008.
Binti huyo aliishi na Nick kipindi chote ambacho mama yake alikuwa mgonjwa.
Imeelezwa kwamba maradhi ya damu yaliyosababisha augue sana miaka iliyopita bado yapo na kwamba yakirejea yanaweza kuharibu kabisa moyo.
Kama itatokea Bi Tollefsen akafariki, tayari ameshaweka sawa mipango ambapo Freya atalelewa na mama yake mdogo anayeishi Norway kutokana na mpenzi wake wa zamani, Nick kuwa bize mno na kazi.

intelligence that Iran had ceased work on a nuclear weapon.. [url=http://www.2012canadagoosepascher.fr]Canada Goose Pas Cher[/url] They requisite my meliorate because I bed how to get rid of the wildlife problem, finished prudish wildlife discipline management and cell them from beingness a difficulty again. Birds are the only kind of animals that have feathers! There are so many kinds of them, and they are all so different. The non-wild revelation of the summer: these micro tomatoes Fran planted in our garden! (one of the original heirloom varieties from Mexico).
ReplyDeleteOh no. [url=http://www.icanadagooseca.com]canada goose parka[/url] I feel Rosa Parks was one of many influential women in America. [url=http://officialcanadagoosesoutlet.ca]canada goose outlet[/url]
[url=http://flyballbags.com]canada goose toronto factory[/url] Bertram van Munster, Executive Producer Jerry Bruckheimer, Executive Producer Jonathan Littman, Executive Producer Hayma "Screech" Washington, Executive Producer Elise Doganieri, Co-Executive Producer Amy Nabseth Chacon, Co-Executive Producer Mark Vertullo, Co-Executive Producer Matt Schmidt, Supervising Producer Jarratt Carson, Supervising Producer Evan Weinstein, Supervising Producer Giselle Parets, Senior Producer Michael Norton, Senior Producer Patrick Cariaga, Senior Producer Phil Keoghan, Producer Top Chef Bravo Magical Elves, Bravo Dan Cutforth, Executive Producer Jane Lipsitz, Executive Producer Shauna Minoprio, Executive Producer Andrew Cohen, Executive Producer Frances G. [url=http://www.onlinebeatsbydreoutlet.com]beats by dre 20 dollars[/url]
third annual zombie walk on Oct. http://officialcanadagoosesoutlet.ca He has just lost his best friend and they understand his need to transfer his own pain into another living thing, his need to share his pain with the world and make everyone understand what he is going through. The Saturn V moon rocket, for example, weighed 3,050 tons at blast-off, and you got exactly seven tons back--that dinky little "command module" the men rode in. Most cases end this way; a settlement doesn mean it was a tie, even if it expressed that way by the parties afterwards.
ReplyDeleteThat helps for faster digestion and expulsion - so it not hanging out fermenting and causing all kinds of misery. [url=http://www.icanadagooseca.com]canada goose parka[/url] Get a Ferrari 360 Spider for $2,500 a day, or, if you want an SUV, try a Range Rover for $495 daily. [url=http://officialcanadagoosesoutlet.ca]canada goose parka sale[/url]
[url=http://flyballbags.com]canada goose online[/url] Jerry Seinfeld question: How real is the scarcity, anyway? Do waiting lists reflect the feverish demand of legions of customers, or are they just a ruse -- a marketing device to stimulate demand by creating an illusion of scarcity? You know the waiting list, fashion answer to the velvet rope, the Gild-the-Lily Gold Club. [url=http://www.onlinebeatsbydreoutlet.com]cheap beats by dr dre 70 off[/url]
It is the best time to make a few plans for the long
ReplyDeleterun and it's time to be happy. I have learn this put up and if I may I wish to recommend you few attention-grabbing things or tips. Perhaps you could write subsequent articles relating to this article. I desire to learn even more things about it!
Also visit my web blog creams for stretch marks during pregnancy