WAWEZA 'KUTUPIA' HIVI UKIENDA KWENYE BURUDANI...
https://roztoday.blogspot.com/2012/03/waweza-hivi-ukienda-kwenye-burudani.html
Kama tulivyoanza jana, tutaendelea kuwaletea mpangilio wa mavazi mbalimbali katika kukuepusha kugeuka kituko machoni mwa watu. Nakuhakikishia ukizingatia hivi, wengi wataiga kutoka kwako.
Posted by
Ekisha Admin
Hii segment imetulia kwa kweli
ReplyDeleteBig up uncle patty. kweli ume-advance kaka!
ReplyDeleteKali sana mjomba
ReplyDelete