CHEKA TARATIBU...

https://roztoday.blogspot.com/2012/05/cheka-taratibu.html
Familia moja ya Wamakonde ambao hawakuwa na dini wameguswa na kuamua kwenda kwenye kanisa moja ili kufanya utaratibu wa kuwa waumini. Bila kuchelewa Padri akawataka kubatizwa kwanza ndipo taratibu nyingine zifuatie. Kila mmoja wa wanafamilia hao akatakiwa kutaja jina ambalo angependa kupatizwa. BABA: Jochefu. MAMA: Mariya. Ilipofika zamu ya mtoto bila kusita akasema, "Yechu!" Duh, kaazi kwelikweli...