NGWASUMA WALIPOSHAMBULIA MAKUMBUSHO...
https://roztoday.blogspot.com/2012/05/ngwasuma-waliposhambulia-makumbusho.html
Linapofikia suala la kushambulia jukwaa, vyeo yote huwekwa kando! Hapa Rais wa FM Academia, Nyoshi El Saadat akionesha umahiri wake wa kusakata Ngwasuma sambamba na wenzake katika onesho la bendi hiyo lililofanyika Jumamosi iliyopita kwenye Kijiji cha Makumbusho Kijitonyama, Dar es Salaam. (Video ya ziro99blog).