BIA YA NDOVU SPECIAL MALT YATUNUKIWA TUZO YA "GRAND GOLD"...

Meneja wa Forodha na Udhibiti wa kampuni ya DHL Express, Busegi Kulwa (kulia) akikabidhi tuzo ya dhahabu yenye hadhi ya juu ya ubora wa kimataifa ‘Grand Gold Award’ kwa Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt, Pamela Kikuli, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki baada ya bia hiyo kushinda tena tuzo hiyo kwa mara nyingine. Wanaoshuhuida ni Meneja Habari na Mawasiliano wa TBL, Edith Mushi na Mpishi Mkuu, Gaudence Mkolwe (kushoto).

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item