BONDIA MAYWEATHER AFUNGWA JELA KWA KUMDUNDA MKEWE...



Floyd Mayweather ameanza kutumikia kifongo cha siku 90 jela asubuhi hii kwenye gereza la Las Vegas baada ya kukutwa na hatia ya kumdunda mkewe mbele ya watoto wao mwaka 2010.
Wakati akiwa jela, Floyd atawekwa kwenye selo yenye ulinzi mkali, ikimaanisha ataweka mbali na jamii ya wafungwa wengine.
Selo ya Floyd ina ukubwa wa futi 7 kwa 14 na inajumuisha kitanda, choo, sinki la kunawia na kijimeza kidogo. Pia ina kadiridha ka wastani.

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item