Unaambiwa ni wiki moja tu baada ya Shirika la Posta huko Zimbabwe kutoa stempu mpya zenye picha ya Rais Robert Mugabe. Lakini uchunguzi umeonesha maeneo mengi nchini humo zimekutwa barua kibao zilizobandikwa stempu ndivyo sivyo! Yaani chini juu...-From Bonny Mazingaizo Jr., Bulawayo