CHEKA TARATIBU...

Binti wa miaka tisa alikuwa kanisani na mama yake ndipo akaanza kujisikia anaumwa. "Mama, tunaweza kuondoka sasa hivi?" alisema binti huyo. Mama akajibu, "Hapana." Binti akasema, "Nataka kutupa huu uchafu!" Mama yake akajibu, "Pita mlango wa mbele halafu zunguka nyuma ya kanisa kisha tupa kichakani." Dakika kama mbili Binti akarejea kwenye kiti. Mama akauliza, "Umeshatupa?" Binti akajibu, "Ndiyo." Mama akahoji, "Vizuri, umewezaje kwenda umbali wote huo na kurejea kanisani haraka kiasi hiki?" Binti akajibu, "Sikuona umuhimu wa kwenda kote huko, kuna sanduku baada tu ya mlango wa mbele 'kwa ajili ya wagonjwa'." Kasheshe...

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item