CHEKA TARATIBU...


Waziri mmoja katika wizara moja nyeti alikuwa akiendesha gari wikiendi moja huku akiwa na mkewe pembeni. Wakafika kwenye kituo cha mafuta. Wakati mhudumu akiwajazia mafuta akamweleza mke wa waziri, "Tumesoma wote Sekondari pale Makongo!" Mke wa waziri akajibu, "Eeeh, ni kweli nimekukumbuka!" Baada ya kuhudumiwa wakaondoka na wakiwa njiani waziri akamwambia mkewe, "Kama ungeolewa na yule jamaa leo usingekuwa mke wa waziri!" Mke akajibu, "Ni kweli kama ningeolewa naye, basi na yeye leo angekuwa waziri!" Balaa...

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item