CHEKA TARATIBU...
https://roztoday.blogspot.com/2012/06/cheka-taratibu_9.html
Jamaa wawili wameshuka kwenye magari yao baada ya kugongana kwenye makutano ya Barabara za Chang'ombe na Mandela eneo la Machinjioni.
Mmoja akatoa sigara na kuiwasha kisha akampatia mwenzake na kusema, "Vuta kidogo upunguze mawazo na kusahau yaliyotokea." Jamaa akajibu, "Nashukuru sana."
Kisha jamaa akafungua buti la gari na kutoa mzinga wa Konyagi na kusema, "Na wewe chukua hii unywe kidogo kuondoa mawazo." Aah wapi, jamaa akaruka na kujibu, "Asante, ila hiyo shika kwanza utanipa akishafika Trafiki!" Mjini shule...