FREEMASONS NI NANI HASA?
https://roztoday.blogspot.com/2012/06/freemasons-ni-nani-hasa.html
Umewahi kusikia neno hili 'Freemasons’?
Haishangazi katika zama hizi mtu kuulizwa swali kama hilo. Jibu la swali hilo ni rahisi. Hapana shaka kila mtu anaweza kuwa na baba, babu, mjomba n.k. Lakini, hata hivyo, Wamason au Wafreemason(s) ni kundi (la udugu) mkubwa duniani na la zamani la watu waliojipambanua. Kama ilivyo kundi la akina mama, kundi hili linaweza kuwa la madaktari, wafanyakazi wa benki nk. Kwa Wagiriki wa zamani, ma-Freemasons ni wanafunzi wa Chuo Kikuu.
Freemasons ni kundi la watu waliojiunga pamoja kwa sababu kuna mambo na vitu wanavyotaka kuvifanya ‘ndani ya fikra zao’. Pia hupenda kuwa pamoja na watu wanaoheshimiana nao.
Tutaviangalia vitu hapo baadaye.
Chimbuko la Freemasons
Hakuna anayejua ule u-Freemasons ulianza lini kwa sababu asili yake ilipotea kadiri muda ulivyokwenda. Labda chimbuko lake lilitokana na mafundi waashi waliojenga ngome na makanisa katika Zama za Kati. Kuna uwezekano pia walishawishiwa na Mashujaa wa Kidini lililokuwa kundi la Kitawa la Kikristo lililoundwa mwaka 1118 kusaidia kuwalinda mahujaji waliokuwa wakienda kuhiji katika Nchi Takatifu.
Mwaka 1717, wanachama wake walianzisha nyumba yao kubwa maalumu Jumba Kubwa (Grand Lodge) ya kwanza waliyokuwa wakikutania. Hii ni sehemu iliyokuwa na mamlaka ya kuongoza maeneo fulani ya Freemason. Nchini Marekani kuna nyumba hizi kubwa za kukutania katika kila jimbo hadi Jimbo la Columbia. Nchini Canada nako kuna sehemu hizi katika kila mkoa. Si hivyo tu, pia kuna sehemu za kukutania katika kila mji, na katika miji mikubwa kwa kawaida ziko kadhaa. Nchini Marekani kuna sehemu kama hizo zipatazo 13,200.

Freemasons kama Taasisi
Freemasons ni taasisi ya kipekee iliyokuwa sehemu kubwa ya maisha ya kijamii nchini Marekani kwa zaidi ya miaka mia mbili na hamsini (250) iliyopita. Ni jumuiya au udugu mkubwa na wa zamani, na unaoendelea kuwa sehemu muhimu ya maisha binafsi ya watu na makuzi yao. Ni taasisi ya watu waliofungamanishwa na filosofia ya mafundisho na uelewa wa kawaida na udugu unaowafanya watu wote kuwa sawa.
Masons ni watu walioamua kwamba wanapenda kujiona na kujisikia bukheri wa afya kwao wenyewe na wengine. Hujali sana kuangalia kitu gani kitatokea siku za usoni na hata wakati uliopita, na kufanya kila wawezalo - ama mtu akiwa peke yake au akiwa na wengine - kuufanya wakati utakaokuja kuwa mwema kwa kila mmoja.
Watu wengi vizazi kwa vizazi wameshakumbana na swali la 'Hawa Wamasons ni akina nani'? Jibu moja zuri la ufasaha liliandikwa na Mchungaji Joseph Fort Newton, mtumishi wa Mungu na Mchungaji Mkuu aliyejulikana sana katika nusu ya kwanza ya karne ya 20 aliyekuwa katika Jumba Kubwa la Iowa, kati ya mwaka 1911-1913.

Je, Freemsons ni dini?
Japokuwa Freemasons si dini, lakini imeweka msisitizo mkubwa katika Umungu Baba na kuhakikisha kuwa undugu wa kibinadamu unafuata misingi ile ile ya Umungu Baba. Hii ikiwa ni pamoja na wajibu wa utekelezaji wa kile kilichoitwa Golden Rule, hasa akiwa pamoja na Wamasons wenzake na kujenga jamii moja yenye nguvu sana. Ukibahatika kukutana na Wamasons wengine, tarajia kuwa utakirimiwa kadri utakavyopenda kukirimiwa. Lengo hapa ni kukuhudumia ili uwe kama mshiriki wa Michigan kwenye Jumba lao ya kukutania la Michigan, ili uwe chanzo cha habari zinazowahusu Wamasons na wasio Wamasons kwa pamoja wa jimbo la Michigan na wengineo duniani.
Unawezaje kuwa miongoni mwa Wamasons?
Watakapopata fursa ya kutupa jicho kupita mabonde na mito hadi mwisho wa upeo kwa fikra iliyozamana na kujiona udogo wako mbele ya Mungu huku ukiwa na imani ya dini, matumaini na ushujaa - ambavyo ndiyo mzizi wa kila uadilifu.
Masons na Uungwana:
Ma-Freemasons na Huruma:
Udugu wa Dhati:
Wa-Masons na Kumbukumbu:
Wakati miti na mimea mingine maarufu ikimetemeta katika miale ya jua kwenye maji ikitulia kama vile mawazo ya mtu aliyependwa sana aliyekufa muda mrefu uliopita.
Ma-Freemasons na kusaidia mtu anayelia kwa huzuni:
Wakati hakuna sauti za kilio cha huzuni zinazosikika masikioni mwao, na mikono yao kutotoa msaada bila ya kuwa na majibu.
Imani:
Watakapona jambo jema katika kila imani yatakayomsaidia mtu yeyote kuleta msaada wa kiungu, na kuiona maana tukufu za maisha, bila kujali imani hiyo inaitwaje.
Wamasons na mwenzake:
Watakapoweza kuangalia kidimbwi cha maji njiani na kuangalia ndani zaidi ya kidimbwi hicho, na kuangalia uso usio na matumaini wa mtu anayekaribia kufa na kuona kitu kilichojaa dhambi.

Matumaini:
Watakapojua jinsi ya kusali, jinsi ya kupenda na jinsi ya kuwa na matumaini.
Wa
Watakapokuwa wanajiamini wao wenyewe na kuwa na imani na wenzao, na Munu wao: huku mikononi wakiwa wameshika upanga wa ubaya, ndani ya mioyo yao huku wakiimba - nina furaha ya kuishi lakini naogopa kufa sisi tukiwa Wamasons.
Masons na Siri:
Watu kama hao wameshaijua siri hasa ya u-Masons, na ile wanayojaribu kuieneza dunia nzima.
Hawa ndiyo wa-Masons. ITAENDELEA...