MAHARUSI WATUMBUKIA ZIWANI BAADA YA DARAJA KUVUNJIKA...


Kama kuna siku ambayo mume anatakiwa kuwa muungwana, basi ni katika harusi yake.
Lakini Eric na Maegan Walber wameanguka kwenye maji wakati wa upigaji picha za harusi, Bwana Walber akiogelea kwenda ufukweni badala ya kumuokoa mkewe aliyekuwa akining'inia.
Sherehe nzima ya harusi iliishia kutota pale kidaraja kilichoko kwenye Hoteli ya Bay Ponte katika Ziwa Gun huko Shelbyville, mjini Michigan, kuvunjika.

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item