R.KELLY ABANWA NA SERIKALI KWA KUKWEPA KODI...
https://roztoday.blogspot.com/2012/06/rkelly-abanwa-na-serikali-kwa-kukwepa.html
Serikali kuu imemshukia mwimbaji R. Kelly kwa kushindwa kulipa jumla ya Dola za Marekani 4.8 za malimbikizo ya kodi, imeelezwa.
Kwa mujibu wa nyaraka zilizopatikana, Kelly anadaiwa pesa kwenye kodi zake tangu mwaka 2005. Mchanganuo uko kama ifuatavyo:-2005 - Dola za Marekani 1,472,366.77
2006 - Dola za Marekani 710,520.51
2007 - Dola za Marekani 376,180.11
2008 - Dola za Marekani 1,122,694.90
2009 - Dola za Marekani 173,815.18
2010 - Dola za Marekani 992,495.24
...na hivyo kufanya jumla ya Dola za Marekani 4,848,072.71.
Mwakilishi wa Kelly ameeleza, "R. Kelly yuko kwenye mchakato wa kuweka mambo yote sawa kati yake na serikali na ana hakika kwamba matakwa yake yatatimia."