CHEKA TARATIBU...

Gari ya polisi imefunga breki mbele ya nyumba Bibi mmoja maeneo ya Temeke Kwa Sokota, na kumshusha Babu. Baada ya kufunguliwa mlango Polisi akaanza kumuelezea Bibi kwamba Babu yule alipotea kwenye viwanja vya Mwembeyanga na kushindwa kukumbuka kwake. Bibi akasema, "Jamani Bakari, umekuwa ukienda Mwembeyanga kwa zaidi ya miaka 30 sasa! Inakuwaje leo umepotea?" Yule Babu akamsogelea karibu Bibi na kumnong'oneza, "Wala sijapotea bwana …Nilikuwa nimechoka sana hivyo hii ni gia ya kupata lifti ya gari!" Balaa…

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item