CHEKA TARATIBU...

Jaji katika mahakama moja Dar es Salaam kamfokea mtuhumiwa, "Nilishakwambia wakati ule kwamba sitaki kuona ukiletwa tena hapa!"
Mtuhumiwa kwa heshima akajibu, "Hicho ndicho nilijaribu kuwaeleza polisi, lakini hawakutaka kunisikiliza."

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item