MTU NI AFYA...

Mtoto akiwa amesimama hatua chache kutoka chooni huku pembeni yake kukiendelea shughuli za mapishi. Hivi kweli elimu ya afya inapewa kipaumbele hapa?
Wafanyabiashara wakiendelea na kazi ya kuandaa samaki kwenye ufukwe wa Feri, Dar es Salaam. Pamoja na kujipatia kipato, lakini mazingira wanayofanyia kazi hayaendani kabisa na kaulimbiu ya "Mtu ni Afya!"

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item