ASHINDA TELEVISHENI YA MILIONI 1.5/- PROMOSHENI YA WEKA NA USHINDE YA CBA...
https://roztoday.blogspot.com/2012/08/ashinda-televisheni-ya-milioni-15.html
Mkuu wa Huduma za Makampuni wa Benki ya Commercial Bank Of Africa (CBA), Fatma Abdallah (kushoto) akimkabidhi John Minja zawadi ya televisheni yenye thamani ya Shilingi milioni 1.5/- jana kwa kuweza kuongeza akiba yake mara mbili ya kiasi kilichomo kwenye akaunti katika "Promosheni ya Weka na Ushinde" inayoendeshwa na benki hiyo.
