CHEKA TARATIBU...

Mkulima mmoja mzee na mke wake wakiwa wanazungukia zizi lao la mbuzi na kondoo ndipo mke akakumbushia kuhusu sherehe yao ya kutimiza miaka 50 ya ndoa.
Mke akasema, "Wacha tusherehekee mume wangu. Tena inabidi tuchinje mbuzi siku hiyo!"
Mkulima akatikisa kichwa chake kabla ya kujibu, "Sioni sababu kwanini mbuzi ahukumiwe kwa kitu kilichotokea miaka 50 iliyopita." Balaa...

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item