CHEKA TARATIBU...

Wazee watatu wenye matatizo ya kusikia wamejipumzisha kwa lengo la kubadilishana mawazo. Mmoja akasema, "Kha, kuna upepo sana leo, si ndio?" Wa pili akadakia, "Hapana! Leo ni Alhamisi." Wa tatu akasema, "Kwa hiyo niko sahihi. Basi tupate soda!" Balaa...

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item