ELIMU BONGO LAZIMA UGANGAMALE...


Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Mkoani iliyopo Ilala, Dar es Salaam wakisahishiwa madaftari yao na mwalimu nje ya madarasa yao mapema leo. Mgomo wa walimu unaoendelea nchi nzima umesababisha wanafunzi wengi kushindwa kuhudhuria masomo.

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item