https://roztoday.blogspot.com/2012/08/tunawatakia-waislamu-wote-idd-el-fitri.html
Mhariri na Menejimenti ya ziro99blog anaungana na wadau wake, Watanzania na Waislamu wote duniani katika kusherehekea Sikukuu ya Iddi El-Fitri. Tunawakumbusha Waislamu wote na Watanzania kwa ujumla kuhimizana kushiriki katika zoezi la Sensa Agosti 26, mwaka huu kwa maendeleo ya Taifa letu.