CHEKA TARATIBU...

Mariah Carey alikuwa ni miongoni mwa wasanii nyota waliotoa maoni yao kuhusu kifo cha Mfalme wa Jordan. Mariah aliieleza CNN: "Ninahuzuni kubwa wakati huu, nilikuwa rafiki mkubwa wa Jordan, alikuwa mcheza basketi mkubwa sana kuwahi kutokea katika nchi hii, hatutaweza kupata mwingine kama yeye".
Pale alipoelezwa na waandishi wa habari kwamba alikuwa Mfalme Hussein wa Jordan aliyekufa na sio Michael Jordan, Mariah akachukuliwa na walinzi wake na kutokomea huku akionesha 'kuchanganyikiwa'. Kasheshe...

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item