CHEKA TARATIBU...

Kulitokea mkanganyiko kwenye wodi ya watoto ya hospitali moja jijini Dar es Salaam. Wazazi wawili, Mchagga na Mgogo walikuwa wakitafuta watoto wao kati ya watatu waliozaliwa siku hiyo bila mafanikio. Baada ya kupewa maelezo, Daktari mmoja akadondosha sarafu sakafuni. Watoto wawili kati yao wakashituka kwa namna tofauti na mmoja akatulia kimyaaa. Wa kwanza akafunua macho na kuanza kuyapepesa kule ilipoangukia ile sarafu wakajua ni Mchagga. Mwingine akainua mikono yake miwili juu, wakajua ni Mgogo! Kasheshe...

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item