CHEKA TARATIBU...

Mmakonde mmoja baada ya kukaa na kutafakari kwa kina kaamua kubadilisha dini na kuwa Muislamu. Zikafanyika taratibu zote saafi. Kwa bahari mbaya au nzuri kipindi alichochukua uamuzi huo ulikuwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Kama inavyojulikana, majira ya mchana saumu ikamkamata ile mbaya Mmakonde katika siku yake ya kwanza kufunga. Mwishowe jamaa akajikuta akiongea kwa sauti, "Nachema hivi, aliyenichilimicha na aje anichilimue chacha!" Duh...

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item