CHEKA TARATIBU...

Kwenye kichochoro chembamba maeneo ya Darajani Zanzibar, madereva wawili wamekutanisha magari yao, moja upande huu na jingine upande ule. Kutokana na ujeri wao, hakuna aliyekubali kumpisha mwenzake huku wote wakitazamana kwa ukali usoni. Mwishowe, mmoja wao akachukua gazeti lake na kuanza kusoma. Mwenzake kwa upole akamwambia, "Kaka, utakapomaliza kusoma, naomba uniazime na mimi nisome kidogo!" Kasheshe...

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item