CHEKA TARATIBU...

Jamaa mmoja kaharibikiwa na gari lake jirani na kijiji kimoja. Wakati aliposhuka kujaribu kutengeneza, ng'ombe akaja na kusimama pembeni yake. "Tatizo la gari lako litakuwa ni betri," akasema yule ng'ombe. Kwa mshituko jamaa akatoka mbio kuelekea ziliko nyumba za wenyeji na mara akakutana na mkulima mmoja. Yule jamaa akamsimulia yule mkulima stori nzima. Mkulima kwa upole akauliza, "Alikuwa ng'ombe mkubwa mwekundu halafu ana baka kwenye jicho lake la kulia?" Jamaa akajibu, "Ndio huyo huyo!" Mkulima kwa kujiamini akasema, "Kama mimi wala nisingemsikiliza maana hajui lolote kuhusu magari!" Duh, balaa...

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item