CHEKA TARATIBU...

Mtume Petro na Shetani walikuwa na mabishano siku moja kuhusu soka. Shetani akashauri ifanyike mechi ambayo itachezwa kwenye uwanja sehemu ya mbali kati ya watu wa peponi na watu jehanamu. Mtume Petro akasema, "Safi sana! Lakini lazima ufahamu kuwa sisi tunao wachezaji wazuri wote na makocha bora kabisa." Shetani akajibu kwa kujiamini, "Najua hilo, lakini sitishiki. Upande wangu ninao waamuzi wazuri wote!" Duh...

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item