CHEKA TARATIBU...
https://roztoday.blogspot.com/2012/09/cheka-taratibu_7.html
Jamaa watatu walikufa na kabla ya Mungu kuwaruhusu kuingia peponi, akawapa nafasi ya kurudia kuomba chochote watakacho.
Jamaa wa kwanza akasema, "Nataka kurudi tena kama mimi, lakini sasa niwe nadhifu mara 100. Hapo Mungu akamfanya nadhifu mara 100.
Jamaa wa pili akasema, "Nataka niwe bora kuliko huyu wa kwanza, lakini niwe nadhifu mara 1,000. Mungu akamfanya kuwa nadhifu mara 1,000.
Jamaa wa mwisho akaamua awe bora kabisa. Hivyo yeye akasema, "Mungu, nifanye bora kuliko wote hawa, niwe nadhifu mara 1,000,000. Mungu akamfanya kuwa mwanamke!! Kasheshe...