CHEKA TARATIBU...

Babu mmoja kagongwa na baiskeli maeneo ya Kigogo Sambusa. Mmoja kati ya watu waliofika kumpa msaada akashauri, "Mpatieni maziwa huyo atapona!" Ghafla yule babu huku akiugulia maumivu akasema, "Na bagia mbili!" Duh…

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item